M-PESA -Njia mpya ya kuweka pesa kwenye akaunti ya Parimatch

Parimatch ft. Vodacom

Kwa kuanza tu, Parimatch ipo tofauti kabisa na kampuni zingine za betting zilizopo sokoni huko lengo kubwa likiwa ni kuyafanya maisha ya wanaopenda kubashiri michezo iwe rahisi. Kwanza kabisa tunawapa wateja wetu majukwaa rahisi ya kutengeneza beti: wanaweza kufanya hivyo kupitia mtandaoni kwenye browser au kwa msaada wa App yetu ya Android.

Haijalishi uko wapi, Tanzania au Ulaya, utaweza kupata aina tofauti za beti kwa michezo na matukio kibao. Hivi karibuni, Parimatch wameanza kushirikiana na Vodacom ili kuhakikisha kila mteja anapata faida kubwa ya kuweka beti. Vodacom ni shirika linalowakilisha M-PESA. Kwa upande mwingine, kwa sasa watumiaji wataweza kuweka pesa kwenye akaunti zao za Parimatch kwa kutumia  simu mjanja zao popote walipo.

Endapo utaichagua M-PESA kuweka pesa kwenye akaunti ya Parimatch, utaweza kucheza na kushinda nasi bila ya kujali eneo uliopo wala muda.

Umeshangaa? Kaa mkao wa kula na ufahamu vizuri mfumo wa M-PESA unavyofanya kazi!

Muongozo wa M-PESA

Ikiwa wewe ni mtumiaji kwa mara ya kwanza, lazima utapatwa na wasiwasi kuwa nitawezaje kuweka pesa kwenye akaunti ya Parimatch na Mpesa. Tafadhali angalia muongozo huu wa namna ya kuweka pesa kwa kutumia mtandao wa Vodacom:

 • Kupitia *150 *00#, au unaweza kupiga huduma kwa wateja ya Vodacom. Ni rahisi, unachohitajika ni kubonyeza namba unayoitaka na kuweka taarifa zako.
 • Kisha, bonyeza sehemu ya kulipia bili. Huko unaweza kuingiza taarifa zako binafsi kama namba yako ya akaunti na neno la siri, pamoja na namba ya biashara ya Parimatch.
 • Hatua inayofuata ni muhimu sana — Bonyeza namba 1 ili kuthibitisha malipo.

Hatua hizi ni rahisi na kukuwezesha kucheza kubeti kila wakati na Parimatch.

Jinsi ya kufungua Akaunti ya M-PESA

Hapa kuna maelekezo ya kuwasaidia watumiaji wasiojua au wasio na utaalam wa kupata faida zote za kulipa kwa M-PESA kutoka Vodacom:

 • Ukiwa na Vodacom yako, piga *111#. Kwa mara nyingine tena, ni huduma ya automated, kwa hivyo ni lazima uchague chaguzi muhimu na kutoa maelezo yanayohitajika.
 • Hatua mbili zifuatazo ni rahisi kama ABC: chagua chaguzi 4 na kisha 1.
 • Ni wakati wa kuingiza taarifa zako (jina la kwanza, jina la mwisho, tarehe ya kuzaliwa, na jina la eneo unaloishi).
 • Basi utapewa ruhusa ya kuchagua lugha ya akaunti.
 • Cha mwisho lakini hakina umuhimu sana- usajili umekamilika, lakini unahitajika kuthibitisha akaunti ili kuanza kutumia M-PESA kuweka pesa. Utapokea SMS. Itakusaidia, utasajili namba ya siri ya akaunti.

Jinsi ya kuanza kuweka pesa kupitia M-PESA

Umesajiliwa Vodacom, kwa hivyo uko tayari kuanza safari yako ya kuweka pesa na M-PESA. Utaratibu ni ule ule wa kuweka pesa lakini unapaswa kuifanya kwa uangalifu ili usikosee hata hatua moja. Vinginevyo, muamala utashindwa kufika sehemu husika.

Hapa kuna maelekezo machache yatakayoweza kukusaidia kuweka pesa kwenye akaunti ya Parimatch kupitia M-PESA:

 • Piga *150*00# ili kupata orodha ya malipo ya Vodacom. 
 • Chagua chaguo 4 ili kulipa bili.
 • Chagua chaguo 3 kuendelea zaidi.
 • Hatua inayofuata ni Ingiza namba ya biashara ya Parimatch. Ambayo Ni 351144.
 • Ingiza namba ya kumbukumbu au namba ya simu iliyounganishwa na akaunti yako kwenye Vodacom. Hii ni njia ya kulinda pesa yako.
 • Weka kiwango cha pesa unachotaka kuweka.
 • Ingiza namba yako ya siri
 • Thibitisha malipo yako, vinginevyo hatua zote zitakuwa batili.

Kwa hivyo sasa utakuwa tayari kupata betting kutoka kwenye jukwaa linaloongoza ulimwenguni -Parimatch

Chaguo la Mhariri: Manufaa ya M-PESA

Ikiwa bado unaishi maisha ya kizamani ya kulipa masuala ya  benki kwa kutumia pesa mkononi, basi tambua kuwa Mpesa itabadilisha maisha yako milele. Hii ni njia salama na yeye kuaminika kulipia mtandaoni kwa mahitaji ya Parimatch. Njia hii inakuwezesha kuokoa muda wako pamoja na rasilimali.

Ikiwa bado hauna uhakika kwa nini M-PESA ni mfumo wa faida wa kulipa, angalia orodha ya faida zake. Tuna kuhakikishia hautajutia fursa hii!

Ni rahisi kuenda nayo popote

Kwa watu wengine, huwa wanajifunza usajili moja kwa moja ambapo hupata suluhisho la faida zaidi. Lakini sivyo ilivyo. Kwa upande mmoja ni angavu zaidi na kwa upande mwingine ni pendekezo muhimu na hutolewa mafunzo bure. Kwa mfano Bonyeza hapa na upate maelezo ya kina ya jinsi ya kuweka pesa MPESA inavyofanya kazi.

Upatikanaji Bora

Pesa taslimu sio njia rahisi zaidi ya kuihifadhi pesa hiyo, kwani ofisi za benki zina kikomo cha muda. Vinginevyo, huna mahitaji ya lazima na pesa taslimu. Ukiwa na M-PESA, utaweza kusahau shida zote hizo. Sasa unaweza kufikia beti za ulimwengu wote 24/7.

Makato  madogo

Faida nyingine muhimu ni kwamba ni rahisi kuweka pesa kwenye M-PESA kuliko benki na mashirika mengine yanayotoa huduma za kifedha.

Teknolojia ya Juu

M-PESA sio tu ya haraka na rahisi ya kufanya malipo ukiwa njiani. Mbali na hilo, ni mfumo salama sana. Inaweza kukabiliana na usumbufu wa kimtandao bila kuchelewesha muamala wako wowote.

FAQ

 1. Je! napaswa kusubiria muda gani kupokea malipo Parimatch kutoka M-PESA?

Kawaida, utaratibu huu hufanywa mara moja au unaweza kufanywa ndani ya masaa machache. Lakini, ikiwa hautapata malipo baada ya wakati huu, tunakuomba uweze kusubiri ndani masaa 24 tokea muamala huo ulipofanyika. Hii inahakikisha kuwa mfumo huo umeboreshwa kikamilifu. Mbali na hilo, mfumo unaangalia kuwa malipo yalipwa akaunti sahihi.

 1. Nifanye kitu gani nikiwa na shida na M-PESA?

Ikiwa kuna masuala yoyote na mfumo wa utendaji, jisikie huru kuwasiliana na huduma kwa msaada. Zinapatikana 24/7. Unaweza kuwasiliana nao kupitia simu (namba ni 0800787878) au barua ([email protected]). Live chat ni njia nyingine ya kutufikia

Badilisha Uzoefu wako Leo!

Usikose nafasi ya kusisimua katika kuboresha uzoefu wako wa Parimatch ukiwa na Mpesa, utasahau shida zote za kuweka pesa na utaweza kufikia akaunti yako bila ya kuwepo mapungufu yoyote.

Uadilifu, makato ya chini, utumiaji rafiki — Hivi ndio vitu vinavyokuja akilini wakati unapoifikiria M-PESA. Jaribu na uwe na Parimatch wakati wowote unapotaka!